• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

DC Afanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa mapya

Posted on: December 16th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe, Hashimu Mgandilwa amewataka viongozi wa vijiji kusimamia zoezi la upelekeaji maji na usombaji mchanga katika maeneo madarasa mapya yanajengwa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2021.

Amesema hayo tarehe 16/12/2020 alipofanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa vinavyojengwa katika shule ya Mnacho na Likunja.

Alisema Mhe, Mgandilwa wananchi wanapaswa kufanya kazi hizo mbili ikiwa ni mchango wao katika kuendeleza ujenzi katika maeneo yao.

“Kata zenye ujenzi wa shule za sekondari, Vijiji vina wajibu wa kushiriki kwenye  ujenzi wa vyumba vya madarasa, na katika kutumia mfumo wa “force”akaunt wenye lengo la kupunguza gharama za ujenzi inapaswa kuchangia nguvu kazi kwa wakati kusaidia kwenye kupunguza gharama za  maji na mchanga. Ambapo wanakijiji na wananchi wa maeneo hayo wanachangia nguvu kupunguza gharama. Aliwataka mafundi na wasimamizi wa madarasa wahakikishe yanakamilika kwa wakati”amesema Mgandilwa


Aliendelea kusema shule hizo ni kwa ajili ya watoto wetu hivyo kwa wazazi kupeleka vifaa  hivyo ni sehemu ya wajibu wao katika kuhakikisha miundombinu ya shule za kata inakamilika kwa wakati.

“Sitaki mwezi wa kwanza wanafunzi wa kidato cha kwanza wanapata shida ya madarasa. Hivyo  wasimamizi hakikishenni ifikapo wakati wa kufungua shule majengo yawe yamekamilika kila kitu na kufaa kwa matumizi ya wanafunzi” amesema DC Mgandilwa


Aidha alisema haridhishwi na kasi ya ujenzi katika maeneo aliyotembele hivyo kuwataka mafundi waliopewa kazi waongeze mafundi ili kazi iende kwa kasi inayoitajika.

“Nitapita tena kufanya ukaguzi nataka nikute mafundi wameongezeka na kazi inaenda kwa kasi inayotakiwa ili mwezi wa kwanza  wanafunzi wetu wasichelewa shule kwa ajili ya haya madarasa” amesema Mgandilwa

MWISHO

Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA RUANGWA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA May 25, 2018
  • Tangazo la ujenzi wa hospitali ya Wilaya wodi ya wazazi January 21, 2019
  • matokeo ya kidato cha nne 2018 January 24, 2019
  • Ona zote

Habari mpya

  • DC awataka watendaji kukamilisha miradi ya elimu

    December 24, 2020
  • Wafugaji acheni ubabe- Mhe Ndaki

    December 22, 2020
  • RC aagiza kumalizwa kwa mgogoro wa aridhi Mbute na Nangurugai

    December 17, 2020
  • DC Afanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa mapya

    December 16, 2020
  • Ona zote

Video

RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA FLY OVER UBUNGO
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa