• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

RC aagiza kumalizwa kwa mgogoro wa aridhi Mbute na Nangurugai

Posted on: December 17th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe, Godfrey Zambi amewataka Wakuu wa Wilaya ya Ruangwa na Nachingwea kumaliza mgogoro wa aridhi kati ya kijiji cha Nagurugai na Mbute

Ametoa agizo hilo tarehe 17/12/2020 kwenye mkutano na wananchi wa kijiji cha Nagurugai alipofanya ziara ya kikazi Wilaya ya Ruangwa.

Mhe Zambi aliwataka wakuu wa wilaya za Ruangwa na Nachingwea kutatua suala hilo kabla ya mwisho wa mwezi disemba, 2020. Alihimiza  wakutane na kukubaliana kumaliza mgogoro unaoendelea katika wilaya hizo mbili.

“Ikifika mwezi wa kwanza nitarudi kuona mmemaliza jambo hilo" katika kufanikisha hilo Zambi aliwata maafisa aridhi wa Wilaya zote mbili wasienda likizo mpaka jambo hili liishe.

Pia aliwataka  wana Ruangwa kufanya kazi kwa bidii na kuacha uvivu wa kukaa vijiweni ili wabadili hali zao za kimaisha katika maeneo yao.

“Kilimo nacho ni kazi watu acheni kudharau shughuli za kilimo, ukifanya kazi kwa kuipenda na kuithamini utafanikiwa msitegeme kuajiriwa tu muwe wajasiliamali pia”amesema Zambi


Vile vile amewataka wananchi wa Ruangwa kuacha mara moja kutumia nafaka katika upikaji wa pombe kwani kutumia nafaka kwa pombe ni uharibifu wa chakula.

Aliendelea kusema Serikali imekataza kutumia nafaka katika shuguli za upikaji pombe hivyo ni wajibu wa wananchi kutii agizo la serikali kuacha kuharibu chakula kwa matumizi ya pombe.


Aidha aliwataka Viongozi wa Serikali za Vjiji kuhakikisha na kusimamia ujenzi wa vyoo vyenye staha katika  vijiji vyao. Alitaka kuhakikisha choo cha kudumu na mtu asipotii agizo la anachukukiwa hatua ikiwa ni pamoja na kutozwa faini ya shilingi elf hamsini.

Akizungumzia elimu alisisitizia kuwa kila Serikali  kijiji ihakikishe kila mtoto aliyefaulu kidato cha kwanza anahidhuria shule zinapofunguliwa

“Ikitokea mzazi amekaidi kupelekea mtoto shule basi achukuliwe hatua za kisheria sitaki ikifika mwezi wa kwanza kukawa na watoto wazururaji mtaani asiyetii hatua za kisheria zichukuliwe” aliagiza Zambia


MWISHO

Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA RUANGWA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA May 25, 2018
  • Tangazo la ujenzi wa hospitali ya Wilaya wodi ya wazazi January 21, 2019
  • matokeo ya kidato cha nne 2018 January 24, 2019
  • Ona zote

Habari mpya

  • DC awataka watendaji kukamilisha miradi ya elimu

    December 24, 2020
  • Wafugaji acheni ubabe- Mhe Ndaki

    December 22, 2020
  • RC aagiza kumalizwa kwa mgogoro wa aridhi Mbute na Nangurugai

    December 17, 2020
  • DC Afanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa mapya

    December 16, 2020
  • Ona zote

Video

RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA FLY OVER UBUNGO
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa