• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Wafugaji acheni ubabe- Mhe Ndaki

Posted on: December 22nd, 2020

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe, Mashimba Mashauri Ndaki amewataka wafugaji kufuata sheria, kanuni na taratibu za maeneo ambayo wanaishi na kuacha ubabe .

Amesema hayo wakati wa kikao cha wadau wa mifugo na wakulima kilichofanyika tarehe 22/12/2020  Wilaya ya Liwale.

Katika kikao hicho kilichohuzuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, aliyewaongoza wakuu wa wilaya, wakurugenzi pamoja ,maafisa wa serikali  na wadau wa kilimo na mifugo wa Mkoa wa Lindi waziri  Ndaki amesema zipo taarifa kwamba wafugaji wanalalamikiwa kwa kuwatisha wakulima na kuingiza mifugo katika mashamba ya wakulima.

“Kila mtu ana haki ya kuishi popote ila huwezi kuishi kwa kutishia watu amani, wafugaji wengi ni wageni Katika Mkoa wa Lindi mnapaswa kuishi kwa kufuata taratibu na kuacha maisha ya ubabe ubabe” amesema Waziri.

Pia amewataka watendaji wa Kata, vijiji na viongozi wa Serikali za vijiji kuacha urafiki wa kinafiki wanaofanya na wafugaji kwani wao ni viongozi hivyo hawapaswi kufanya urafiki wa aina hiyo.

“Huo urafiki wenu unaumiza wanakijiji wengine acheni mara moja na ukibaikinika kiongozi unafanya hayo utachukuliwa hatua za kisheria” amesema ndaki


Wakati huo huo Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe, Godfrey Zambi amewasisitiza wafugaji kuacha kutoa rushwa kuwataka wafuate sheria zinavyotaka

Aliendelea kusema kuwa wafugaji wamekuwa wakitoa fedha kwa watu wanaotaka wawasaidie kupitisha mifugo bila kufuata taratibu wakidhulumiwa wanaanza kulalamika.


Ameeleza kuwa hali hiyo hujitokeza  kwa sababu wafugaji wamekuwa  wanataka njia za mkato zisizo na uhalali na kuwahimiza wafuate taratibu zinavyotaka.

Aidha aliwataka wafugaji kupunguza mifugo kwa kuwauza na kupata kipato cha kuwaboreshea maisha yao au kuwekeza katika vitega uchumi vingine.

“Wafugaji wengi mnaishi katika mazingira ambayo hayaridhisha uzeni mifugo yenu mjenge nyumba nzuri na boresheni maisha yenu mifugo hiyo ni utajiri kwenu” amesema Zambi.

MWISHO

Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA RUANGWA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA May 25, 2018
  • Tangazo la ujenzi wa hospitali ya Wilaya wodi ya wazazi January 21, 2019
  • matokeo ya kidato cha nne 2018 January 24, 2019
  • Ona zote

Habari mpya

  • DC awataka watendaji kukamilisha miradi ya elimu

    December 24, 2020
  • Wafugaji acheni ubabe- Mhe Ndaki

    December 22, 2020
  • RC aagiza kumalizwa kwa mgogoro wa aridhi Mbute na Nangurugai

    December 17, 2020
  • DC Afanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa mapya

    December 16, 2020
  • Ona zote

Video

RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA FLY OVER UBUNGO
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa