Mwenge wa uhuru utapokelewa Nandagala shule ya Msingi tarehe 27/04/2022 siku ya jumatano saa 12:00. Na kutembelea miradi sita yenye thamani ya shilingi billioni 1.2. Na mkesha utakuwa viwanja vya Shule ya Msingi Likangara.
Na tarehe 28/04/2022 utakabidhiwa Halmashauri Ya Wilaya ya Nachingwea kijiji cha Chiola saa 12:00 asubuh
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa