Jumla ya hekta 3,720 tayari zimefanyiwa utafiti ya kugulika kuwa na madini ya Bunyu(Graphite) katika vijiji vya Mihewe, Mtondo, Nambilanje na Matambarale. Pia madini aya yanapatikana katika vijiji vya Nangurugai, Nachiungo, Namakuku, Namkonjera na chunyu na utafiti wake ukikamilika ukubwa wa eneo ambalo lina madini aya litatolewa. Madini mengine yanayopatikana ni kama kama ifuatavyo;
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa