Friday 4th, October 2024
@
Kampeni hii inafanyika kila mwaka kutoka Agosti 1 hadi 7 na inahusisha zaidi ya nchi 170. Lengo kuu la Wiki ya Unyo yeshaji Duniani ni kukuza umuhimu wa unyo yeshaji, kuelimisha umma kuhusu faida zake kwa watoto wachanga na akina mama, na kuhamasisha jamii, serikali, na mashirika mbalimbali kusaidia na kuimarisha mazingira mazuri ya unyo yeshaji.
Kauli mbiu ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani mwaka 2024 ni "Kufunga Mwanya: Msaada wa Unyonyeshaji kwa Wote".
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa