• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Historia

Kuanzishwa

Wilaya ya Ruangwa ilianzishwa mwaka 1995 chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi, na ikazinduliwa rasmi mwaka 1999 wakati wa uongozi wa Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.

Wilaya hii ni miongoni mwa Wilaya zilizopo katika Mkoa wa Lindi, ikiwa umbali wa takribani kilometa 150 kutoka makao makuu ya Mkoa. Ruangwa ina jumla ya Kata 22, Vijiji 90 na Vitongoji 435.

IDADI YA WATU

Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Wilaya inakadiriwa kuwa na jumla ya Wakazi 185,573 wakiwemo wanaume 91,469 na wanawake 94,104. Halmashauri ina jumla ya Kaya 60,931 zenye wastani wa Watu 3 kwa kila kaya.

UCHUMI WA WILAYA 

Shughuli kuu za uchumi kwa wakazi wilayani ni kilimo ambacho huajiri asilimia 80 ya wakazi wote.

Mazao yanayolimwa kwa matumizi ya chakula ni;

  • Mahindi, Muhogo, Mtama, Kunde,
  • Mbogamboga na Matunda.

 Kwa upande wa biashara mazao yanayolimwa ni;

  • Korosho, Mbaazi, Alizeti na Ufuta. 

Shughuli nyingine za kiuchumi ni;

  • ufugaji wa nyuki, ng’ombe, mbuzi,
  • biashara ndogondogo,
  • uchimbaji mdogo wa madini na
  • ajira rasmi.

FURSA ZA UWEKEZAJI NI PAMOJA NA MIUNDOMBINU YA; 

  • Mawasiliano (Barabara, umeme, maji na mitandao ya simu), Wilaya ina mtandao wa barabara wenye urefu wa km 782.04; barabara za Wilaya km. 195.05 barabara za vijiji km.227.1 barabara za jamii km.216.89 na barabara za Mkoa km 143.
  • Uwepo wa ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo.
  • Uwepo wa madini aina ya kinywe, chuma, dhahabu, "green garnet" yanayofaa kwa uchimbaji mkubwa pamoja na uwepo wa maeneo yaliyopimwa kwa ajili ya ujenzi wa viwanda,
  • Uwepo wa rasilimali watu/ nguvu kazi ya kutosha pamoja na
  • uwepo wa taasisi za kifedha.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 16, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WAPEWA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU RUANGWA

    May 14, 2025
  • CHONYA AWATAKA MAAFISA WAANDIKISHAJI RUANGWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA UADILIFU

    May 14, 2025
  • CHONYA AWATAKA MAAFISA WAANDIKISHAJI RUANGWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA UADILIFU

    May 14, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa