• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Gaweni viwatilifu kwa uadilifu- Dc Ngoma

Posted on: May 26th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe, Hassan Ngoma amewataka Viongozi wa Halmashauri na Serikali ya kijiji wanaosimamia zoezi la ugawaji pembejeo za ruzuku ya Viwatilifu kwa ajili ya korosho kufuata haki na usawa katika zoezi la ugawaji  pembejeo hizo.


Amesema hayo wakati wa mapokezi ya pembejeo  hizo katika ghala la Chama Kikuu Runali lililopo kijiji cha Lipande Ruangwa.

Alisema pembejeo hizo haziwezi kumtosha mkulima hivyo ni wajibu wa mkulima kuongeza idadi ya pembejeo katika shamba lake kama hitaji lake lilivyo.

"Kuhudumia shamba lako ni wajibu wako mkulima ila Serikali imeamua kukusaidia  kukupatia pembejeo bure baadhi hivyo zinazobaki kanunue mwenyewe" amesema Ngoma

Pia aliwataka wananchi wafahamu kuwa pembejeo hizo zimeletwa na Serikali kwa lengo la kuwagaiwa wananchi bure hivyo ikitokea mtu anaambiwa atoe fedha ndiyo apaewe pembejeo atoe taarifa polisi haraka.

" Tutapita kukagua hadi kwenye maduka mfanyabiashara tukikukuta na pembejeo hizi za ruzuku tutakuchukulia hatua za kisheria" amesema Ngoma

Mapokezi ya awamu ya kwanza kwa salfa tani 60, ubwiri unga na braiti boksi 2460 na kiua wadudu lita 866 na zoezi la ugawaji litaanza tarehe 31/05/2022

MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 16, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WAPEWA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU RUANGWA

    May 14, 2025
  • CHONYA AWATAKA MAAFISA WAANDIKISHAJI RUANGWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA UADILIFU

    May 14, 2025
  • CHONYA AWATAKA MAAFISA WAANDIKISHAJI RUANGWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA UADILIFU

    May 14, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa