Posted on: March 19th, 2020
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Dkt Mahile Njile pamoja na timu ya kukabiliana na magonjwa ya milipuko Wilayani Ruangwa wamefanya mafunzo ya namna ya kuchukua tahadhari ya kujikinga na Corona. ...
Posted on: March 7th, 2020
Katika kuelekea kilele cha siku ya wanawake duniani, kamati ya sherehe hiyo katika Wilaya ya Ruangwa imetoa msaada kwa watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi Wilayani hapo
Msaada huo umetolewa leo t...
Posted on: March 6th, 2020
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Mhe Rashidi Nakumbya amewataka wananchi wa Ruangwa kujitokeza kwa wingi tarehe 15/03/2020 katika mechi ya mpira wa miguu kati ya Namungo Fc na ...