Posted on: February 26th, 2020
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa Mhe Rashid Nakumbiya amebainisha upungufu wa damu ya kuhifadhi katika Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa
Kauli hii imetoka leo tarehe 26/02/2020 wakati ...
Posted on: November 28th, 2019
Kutokana na kuongezeka changamoto ya vifungashio vya zao la korosho kwa wakulima kutokuwafikia kwa wakati jambo linalopelekea kuchelewa kwao kuzifikisha korosho katika magahala makuu ili kuuza, Baraza...
Posted on: November 12th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imefungua rasmi ghala la kuhifadhia mazao ya biashara lililopo kata ya Ruangwa katika kijiji cha lipande
Ghala hili lenye thamani ya shilingi Bilioni 6.6 fedha iliy...