Posted on: June 26th, 2019
Mkuu wa Wilaya ameagiza kuanzia tarehe 27/06/2019 mchimbaji yoyote ambaye atakuwa hana kitambulisho hatoruhusiwa kwenda mgodini kufanya shughuli za uchimbaji.
Pia amepiga marufuku wazururaji ...
Posted on: June 26th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe Hashim Mgandilwa ameagiza kamati ya ujenzi wa zahanati ya Namungo na kamati ya wazee kulipa mabati 28 yenye thamani ya fedha shilingi 78,4000 mpaka tarehe 10/07/201...
Posted on: June 26th, 2019
Wakulima Wilayani Ruangwa walalamikia vifungashio vya bidhaa zao vinavyoletwa na wafanyabiashara wanaokuja kununua mazao Wilayani humo.
Wamesema vifungashio hivyo vimekuwa vinawanyonya wao kw...