Posted on: June 13th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe, Hashim Mgandilwa amewataka vijana kuendeleza kuku waliopewa kwa ajili ya kufuga na shirika la Aghakani kutoka katika idadi ya 10 na kufika katika idadi kubwa zaidi...
Posted on: June 12th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe, Hashim Mgandilwa ameziagiza Serikali za vijiji kuacha kuingia mikataba na watu kabla ya kuifikisha katika Ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kupitiwa, kwani kukiuka kufany...
Posted on: June 10th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe Hashim Mgandilwa amewataka wachimbaji wote wa Madini wasio na leseni wala mkataba kutoka kwa waajiri wenye mgodi kununua Vitambulisho vya Mjasiliamali.
Ameyasema hayo ...