Posted on: December 20th, 2018
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu amewataka wakulima kujiwekea uhakika na utaratibu wa kupata huduma ya Afya iliyobora.
Amesema hayo wakati wa ziara y...
Posted on: December 4th, 2018
Vijana, wanawake na walemavu wilayani Ruangwa mkoani Lindi, wamewezeshwa na halmshauri kwa kupatiwa mikopo ya vikundi ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Kupitia mikutano ya hadhara iliyofanyi...
Posted on: December 7th, 2018
Naibu waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemtaka mkandarasi wa safi campany group anaesimama mradi wa maji wa Nangumbu ambao utahudumia vijiji vya Nangumbu na Michenga kufanya kazi kwa ubora unaot...