Posted on: October 26th, 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kuuheshimu na kuuendeleza utamaduni ambao ndio urithi wao ili kulifanya Taifa liendelee kuwa hai.
Amesema suala la kuuenzi utamaduni ni ja...
Posted on: October 25th, 2018
Waziri wa Habari na Utamaduni Dkt Harrison Mwakyembe amewataka wananchi wa Lindi kutumia dhana ya utamaduni ili kujikwamua kiuchumi na kuleta maendeleo.
Waziri Mwakiembe ameyasema hayo alipok...
Posted on: October 11th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Hashim Mgandilwa ametumia mwanya wa wananchi kuchelewa mkutanoni ama kudharau mkutano wa hadhara kwa kuwatoza 5000 kwa kila mwananchi aliyekumbwa na kadhia hiyo na kuelekeza ...