Posted on: March 5th, 2018
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa, Serikali imetoa tsh.billioni 1.4 kwa ajili ya uboreshaji wa vituo vya afya katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi.
...
Posted on: March 5th, 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua mradi wa usambazaji maji kwenye vijiji vinavyopitiwa na mradi wa maji ya Mbwinji na ameridhishwa na unavyoendelea.
Mradi huo unaosimamiwa na mamlaka ya maji na ...
Posted on: March 3rd, 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa ufuta katika mikoa inayolima zao hilo nchini kuuza kwa kutumia njia ya minada na si mashambani.
Ametoa agizo hilo leo Machi 03, 2018 wakati akizung...