Posted on: May 21st, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Joseph Mkirikiti amewataka wananchi wa Ruangwa kugeuza mapori yaliyopo Wilayani humo kuwa mashamba.
Amesema hayo wakati wa maonesho wa shamba dar...
Posted on: May 2nd, 2018
Wazazi Kutoka katika kata ya Chinongwe Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi watakiwa kuwapa nafasi watoto wao wa kike kusoma ili kupata elimu itakayowawezesha kulisaidia Taifa kukuza uchumi na kuboresha mais...
Posted on: April 21st, 2018
Halmashauri ya WIlaya Ruangwa Mkoani Lindi kupitia Idara yake ya Maendeleo ya Jamii imetoa tsh milioni hamsini na tano laki tatu na elfu hamsini (55,350,000/=) kuwakopesha vikundi vya vijana na wanawa...