Posted on: September 30th, 2024
Wilaya ya Ruangwa ni mojawapo ya Wilaya sita za Mkoa wa Lindi, ni kitovu cha maendeleo, kilimo, na uchimbaji wa madini. Wilaya hii ilianzishwa mwaka 1995 chini ya utawala wa Rais wa awamu ya tatu, ...
Posted on: September 28th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nandagala, Mhe. Andrew Chikongwe, ameeleza kuwa mbio za Nandagala Marathon zimeweka historia kwa kuwa ni za kwanza k...
Posted on: September 27th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma amefanya ziara ya kutembelea Kata ya Nkowe leo Septemba 27, 2024 ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kusikiliza kero za wananchi wa Wilaya ya Ruangwa
...