Posted on: August 8th, 2024
Maonesho ya 31 ya Nanenane Kanda ya Kusini yametamatika leo 8 Agosti 2024 kwa mafanikio makubwa, yakionesha maendeleo ya sekta ya kilimo, ufugaji, na uvuvi katika Mikoa ya Lindi na Mtwara. Maonesho ha...
Posted on: August 7th, 2024
Baadhi ya wataalamu wa kilimo na mifugo pamoja na wajasiriamali kutoka Wilaya ya Ruangwa wamepatiwa elimu ya ujasiriamali na masoko katika maonesho ya Nanenane kanda ya kusini yanayoendelea kwenye viw...
Posted on: August 6th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ruangwa, Mhe. Andrew Chikongwe, ametoa wito kwa wajasiriamali wa Wilaya hiyo kuongeza juhudi katika kukuza biashara zao. Akizungumza leo, tarehe 6 Agosti 2024, alipotembel...