Posted on: July 29th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imefanya kongamano maalum la ukusanyaji wa maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Kongamano hilo, limewakutanisha watu kutoka makundi mbalimbali katika...
Posted on: July 28th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mhe. Andrew Chikongwe ametoa wito kwa wazazi kuwasomesha watoto kwa manufaa yao na familia zao.
"Wazazi tujitahidi kusomesha watoto wetu kwan...
Posted on: July 28th, 2024
Zimebaki siku 3 kabla ya msimu mpya wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kusini kuzinduliwa. Macho na masikio ya wadau yanaelekezwa Ngongo, ambako maonesho hayo yatafanyika.
Njoo ujifunze kili...