Posted on: July 27th, 2024
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameendesha harambee na kuchangisha sh. milioni 928.67 za ujenzi wa kanisa kuu tarajiwa la Mt. Andrea Kagwa la Jimbo Katoliki la Lindi.
Kati ya fedha ...
Posted on: July 26th, 2024
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa unahimiza wananchi kushiriki kikamilifu katika kutoa maoni yao kwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050.
Ushiriki wenu ni muhimu katika kuje...
Posted on: July 25th, 2024
Viongozi na wananchi wa Wilaya ya Ruangwa wajumuika kwa pamoja kuadhimisha siku ya Mashujaa Tanzania kwa kufanya usafi Soko kuu Ruangwa leo Julai 25, 2024 saa 12 asubuhi.
Siku ya Mashujaa ...