Posted on: June 17th, 2022
Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imepata mafunzo ya uelewa juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na bank ya CRDB ikiwemo huduma za bima za aina zote, huduma za kumiliki account za...
Posted on: June 16th, 2022
Kupitia mafunzo ya utawala bora, Mwezeshaji Mwalimu Uzima Milele Justine ameshauri serikali za vijiji kufanya kazi kwa uwazi na kutoa taarifa kwa wananchi kwa wakati.
Ametoa ushauri huo wakati wa m...
Posted on: June 15th, 2022
Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Hassan Ngoma amewataka wananchi wa Ruangwa kushirikiana na serikali kwani ndiyo inayoshughulika na changamoto ambazo wawakilishi wao wanawasemea ili kuleta maendeleo ka...