Posted on: May 26th, 2022
Kamati ya Uongozi, Fedha na mipango imefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya.
Imefanya ziara hiyo tarehe 27/05/2022 ambapo, miradi mitano ilitembelewa ikiwemo M...
Posted on: May 26th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe, Hassan Ngoma amewataka Viongozi wa Halmashauri na Serikali ya kijiji wanaosimamia zoezi la ugawaji pembejeo za ruzuku ya Viwatilifu kwa ajili ya korosho kufuata haki na ...
Posted on: May 25th, 2022
Mwezeshaji wa mafunzo ya Utawala bora ndg, Uzima Justine amewaambia washiriki wa mafunzo wakayafanye mafunzo hayo yawe na tija na walichokipata wakakifanyie kazi.
Ameyasema hayo wakati akizungumza ...