Posted on: May 19th, 2022
Washiriki wa mafunzo ya ufugaji kuku na samaki wamepata mafunzi ya namna ya kufunga na kuandaa bwawa la samaki.
Mafunzo hayo wameyapata leo tarehe 19/05/2022 katika chuo cha Veta nandagala Ruangwa ...
Posted on: May 18th, 2022
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mhe. Andrea Chikongwe amewataka washiriki wa mafunzo ya ufugaji kuku na samaki kutumia mafunzo hayo vizuri ili yawasaidie katika kujiendeleza kiuch...
Posted on: May 17th, 2022
Mkuu wa mkoa wa lindi mhe. Zainabu telack amezindua kampeni ya kimkoa ya kufufua mashamba pori kwenye kijiji cha Narungombe wilaya ya ruangwa mkoani humo.
Mhe. Telack amewataka wakulima kufuf...