Posted on: December 15th, 2020
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Albert Mwombeki amepokea msaada wa vifaa vya walemavu kutoka katika Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC).
Amepokea vifaa hivyo tarehe 15/12...
Posted on: December 4th, 2020
Mwenyekiti mteule wa Halmashauri ya Wilaya Ruangwa Mkoani Lindi, Andrea Chikongwe ambae ni Diwani wa Kata ya Nandagala, amewataka Madiwani na Menejimenti ya Halmashauri hiyo kuhakikisha wanas...
Posted on: October 26th, 2020
Wasimamizi Wakuu na Wasaidizi wa Uchaguzi Mkuu waaswa kuwa waadilifu na wasikivu ili kuweza kufanya uchaguzi wenye amani.
Hayo yamesemwa Leo tarehe 25/10/2020 na Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimbo la...